Jinsi ya Kuomba Kujiunga na Chuo
Fuata hatua zifuatazo ili kujiunga na chuo chetu:
Hatua za Maombi
- Lipa Ada ya Maombi: Ada ya maombi ni Tsh 20,000. Lipa kupitia akaunti yetu ya benki:
Namba ya Akaunti: 015C615218101 - Wasilisha Ushahidi wa Malipo: Piga picha au skani risiti ya malipo na uiambatanishe kwenye fomu ya maombi.
- Jaza Fomu ya Maombi: Jaza taarifa zako zote kwa usahihi.
- Tuma Maombi: Baada ya kukamilisha fomu, bonyeza kitufe cha "Tuma" (Submit).
- Subiri Uhakiki: Maombi yako yatakaguliwa na tutawasiliana nawe kwa hatua zinazofuata.
Sifa za Kujiunga na Medical Laboratory
Waombaji wa kozi ya Medical Laboratory wanapaswa kuwa na ufaulu wa angalau Daraja D katika masomo 4. Masomo hayo ni Kemia, Baiolojia, Fizikia (au Hisabati) pamoja na somo moja la ziada isipokuwa Dini.
Sifa za Kujiunga na Clinical Medicine
Waombaji wa kozi ya Clinical Medicine wanapaswa kuwa na ufaulu wa angalau Daraja D katika masomo 4. Masomo hayo ni Kemia, Baiolojia, Fizikia, pamoja na somo moja la ziada la chaguo lako.